MISITU NI UHAI
Автор: Tulipotoka Zamani
Загружено: 2021-12-20
Просмотров: 7819
Wimbo huu ulikuwa ndio kiashiria (Signature Tune) cha kipindi cha MISITU NI UHAI kwenye Redio Tanzania kuanzia mwaka 1984 hadi 1995. Kwaya hii ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) iliongozwa na Kapteni John Komba.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: