| MWANAMKE BOMBA | Umi Mohamed Heri, Dereva wa Ambulensi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2019-09-17
Просмотров: 34857
Amekuwa akiihudumia jamii kwa zaidi ya miaka 30 kutokana na kazi yake ya udereva wa ambulensi. Wengi wakimuenzi kwa namna anavyoifanya kazi yake bila kuchagua ama kubagua ni nani anayemhudumia. Namzungumzia Mama Umi Mohamed Heri ambaye amezidi kupata umaarufu katika eneo la Mpeketoni haswa baada ya mwanawe Anwar Oliotiptip kupata wadhifa wa useneta kaunti ya Lamu.
Nilipata fursa ya kuzungumza naye na kutambua kwamba mwanamke huyo bomba ni mfano bora wa kuigwa sio tu na wanawake bali pia wanaume wanaoenzi kazi za kuhudumia jamii.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: