Mwanamke Bomba | Suheila Abdul Faraj amebadili taswira ya Wabajuni Lamu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-04-04
Просмотров: 2178
Jamii ya wabajuni katika kaunti ya lamu imekuwa na desturi ya kuwaoza wasichana mapema na kutotilia maanani masomo Yao. Lakini Suheila Abdul Faraj ameipa jamii hiyo taswira mpya ambayo imekuwa fahari Yao, Kwa kuwa wakili wa kike mdogo zaidi anayehudumu Lamu. Suheila mwenye umri wa miaka ishirini na mitano pia amekuwa mfano wa kuigwa na wasichana na wanawake huku akiwahimiza kufanikisha ndoto zao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: