MSHINDI NO. 09 PAROKIA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU KIHESA TAMASHA LA UIMBAJI UKWAKATA JIMBO LA IRINGA
Автор: JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 355
Parokia ya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Kihesa imeshika nafasi ya tisa (09) kati ya parokia 14 ambazo zimeshiriki tamasha la uimbaji la Umoja wa wanakwaya Tanzania Jimbo la Iringa kwa ushindi wa asilimia 74%.
Katika tamasha hilo lililofanyika Novemba 29 2025 katika viwanja ya Senta ya Vijana Kichangani na kuhudhuriwa na Parokia 14 kati ya 32 za Jimbo la Iringa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: