Jinsi ya kusajili channel yako
Автор: Richstar
Загружено: 2020-09-14
Просмотров: 18806
Video hii nimeelezea mambo muhimu na hatua zake wakati ukitaka kusajili Channel yako ya YouTube.
Hatua ya ni kama ifuatavyo
1. Sajili jina la baishara ama kampuni kupitia brela https://bit.ly/3hBSasp
2. Sajili TIN number ya biashara kama huna. Ingia https://ots.tra.go.tz/
3. Toa copy Cheti cha Brela, TIN, Tax clearance, Kitambulisho cha Taifa.
Vipitishe kwa mwanasheria avithibitishe (CERTIFY)
4. Fungua akaunti na jaza fomu ya maombi katika https://clams.tcra.go.t
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: