Mwakibete atoa neno kuhusu bandari kavu ya Kwala
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-04-01
Просмотров: 800
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amewataka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha Bandari Kavu ya Kwala inaanza kufanyakazi.
Mwakibete ameyasema hayo baada ya kufanya ukaguzi wa kutembelea Bandari hiyo mkoani Pwani ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 95.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: