MHE. ZAIDI RASMI SASA MEYA MANISPAA MTWARA MIKINDANI,LUNGU NAIBU MEYA
Автор: Faruku Ngonyani
Загружено: 2025-12-04
Просмотров: 132
Diwani wa Kata ya Jangwani Mh. Saidi Mohamed Zaidi amechaguliwa na Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa Mtwara Mikindani kuwa Mstahiki Meya.Huku Sixmund Lungu ametetea nafasi yake ya Unaibu Meya wa Halmashauri hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: