PROPHET SUGUYE AWAGUSA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MTWARA AKIWA KWENYE OPERATION KOMBOA MISUKULE
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-10-01
Просмотров: 188
Wasimamizi wa Vituo vya kulelea Watoto wenye mahitaj maalum kutoka Shule ya msingi Rahaleo Manispaa ya Mtwara Mikindani, pamoja na Kituo cha Upendo Rehabilitation Center kwa pamoja wamemshukuru Kiongzi wa Kiroho Prophet Suguye baada ya kutembelea katika Vituo hivyo na kutoa misaada mbalimbali kama vile vyakula, Fedha taslim, Taulo za kike na vitu vingine vingi.
Prophet Suguye amefanya hayo siku ya Oktoba 01, 2025 alipotembelea mkoanihumo akitokea Jijini Dar es salaam tayari kwa ajili ya kutekeleza Operation yake ya Komboa misukule ambayo ataifanya siku ya Oktoba 02, 2025 katika Viwanja vya Sabasaba hapa mkoani Mtwara.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: