KUELEKEA SIKUKUU YA CHRISTMAS KKKT MTWARA WATUMIA ZAIDI YA MILIONI 6 KUSAIDIA WENYE UHITAJI
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-12-20
Просмотров: 317
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki kupitia Kitengo cha Diakonia, Wametoa msaada wa Vitu mbalimbali kwa wenye uhitaji ikiwa ni pamoja na Vyakula, Nguo, Mitaji, na hata kuwagusa Watoto wenye Usonji, wanaotunzwa kwenye Kituo cha UPENDO REHABILITATION CENTER kilichopo Manispaa ya Mtwara mikindani.
Zoezi hilo limefanyika leo Desemba 20, 20205 katika Viunga vya Kanisa hilo lililopo Manispaa ya Mtwara mikindani.
USISAHAU KUSUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: