ANAPOLALA NI CHANGAMOTO| KULA KWAKE NI MPAKA ALIME VIBARUA| MKE WAKE AMEONDOKA KISA MAISHA MAGUMU...
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-12-16
Просмотров: 265
Anaitwa Mohammedi Hamisi Mushangani, Mzee anayeishi kwenye Mtaa wa Chipuputa Kata ya Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Mzee huyu anaishi kwenye Kibanda kilichojengwa Kwa Miti na kuezekwa Bati kuukuu na Makuti kwa wakati mmoja, huku kula yake ikitegemea nguvu za Mwili wake yaani kulima Vibarua, na hata kuokota Embe ili auze ndipo apate kula na Familia yake.
Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya Kijamii
👉 YouTube, Instagram X na Facebook
👉 Faida Online TV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: