ASIMULIA ALIVYONUSURIKA MDOMONI MWA MAMBA ALIPOKAMATWA AKIVUA SAMAKI MTWARA
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 407
Kijana mmoja aitwae Hassani Halfani Kufuru, amenusurika kifo baada ya kukamatwa na Mamba alipokuwa akivua samaki katika Bwawa lililopo Kijiji cha Arusha juu, maarufu kama Mmulu kata ya Chawi Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara ambapo alisaidiwa na wenzake ambao alikuwa nao katika harakati hizo.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: