MIRADI YA TACTIC YAANZA KUTEKELEZWA MTWARA | UJENZI WA STENDI YA MABASI MKANALEDI WATAJWA
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-12-22
Просмотров: 240
Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya TACTIC umeanza kutekelezwa ndani ya Manispaa ya Mtwara mikindani mkoani Mtwara, ambapo tayari ujenzi wa Ofisi za Jengo la usimamizi wa Miradi hiyo pamoja na Stendi kuu ya mabasi ya Mkoa wa Mtwara umeanza kufanyiwa kazi ili Wananchi waweze kunufaika kutokana na miradi hiyo.
Hayo yamesemwa na Mhandisi Khatib Nunu ambae ni Meneja wa TARURA Wilaya ya Mtwara, alipozungumza na Faida Online TV siku ya Desemba 22, 2025 akiwa katika eneo la Skoya, ambapo ndipo panapojengwa Ofisi ya Usimamizi wa Miradi hiyo huku akiongeza kuwa Miradi hiyo itagharimu Sh. Bilioni 27.4.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: