MTWARA MIXED PRODUCTS WAFUNGUA DUKA LA BIDHAA MBALIMBALI KUTOKA CHINA| WANAPATIKANA SOKOSELA PLAZA
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-07-21
Просмотров: 1479
Mtwara Pro Mixed Products LTD, Ni Kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali ambapo siku ya Julai 21 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Ndg. George Mathias Solo, amewaalika Wadau mbalimbali kutembelea kwenye Duka lililofunguliwa katika Ghorofa ya Sokosela Plaza katika Viunga vya Nangwanda Sijaona Manispaa ya Mtwara mikindani, ili kujipatia Bidhaa mbalimbali.
Akiongea na Faida Online tv, Bw. George, amesema bidhaa wanazouza Dukani hapo zinatokea Nchini China na hata bei yao ni nafuu mno huku bidhaa hizo zikipatikana kwa Jumla na rejareja.
SUBSCRIBE CHANEL YA FAIDA ONLINE TV YOUTUBE ILI KUPATA HABARI ZETU.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: