Kesi ya Tundu Lissu na uzito wake kisheria | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: Дата премьеры: 13 апр. 2025 г.
Просмотров: 199 396 просмотров
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu yuko korokoroni tangu Jumatano jioni na siku ya Alhamisi alifikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya uhaini na uchochezi. Je, unafahamu uzito wa mashtaka yanayomkabili? Fuatilia mjadala.

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: