TAARIFA MPYA KUHUSU KADI YA NIDA/ WANANCHI WAPEWA UHAKIKA/ BASHUNGWA ASEMA NI SIKU 14/
Автор: Dar24 Media
Загружено: 2025-03-01
Просмотров: 617
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza mkakati wa Serikali ni kuhakikisha Mwananchi anapata Kitambulisho cha Taifa ndani ya siku 14 mara baada ya kukamilisha usajili katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: