Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

RAIS MWINYI APOKEA OMBI LA KUJENGA NYUMBA ZA MAENDELEO - GAMBA

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2026-01-12

Просмотров: 1402

Описание:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika sekta ya elimu kwa kuweka mazingira mazuri ya kujifunzia kupitia ujenzi wa skuli za kisasa zenye hadhi na viwango vinavyokubalika.

Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 10 Disemba 2026, alipozifungua skuli mbili za ghorofa ambazo ni Skuli ya Ramadhan Haji Faki iliyopo Gamba, Mkoa wa Kaskazini Unguja, pamoja na Skuli ya Kifundi kwa Niaba iliyopo Pemba.

Amesema Serikali inatambua mchango wa wananchi wa Gamba waliopisha ujenzi wa skuli hiyo na kuahidi kuwa Serikali inajipanga kufanya tathmini ili kuwalipa fidia zao stahiki. Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amesema Serikali imepokea ombi la wananchi la kujengewa nyumba za maendeleo katika eneo hilo na kuahidi kulifanyia kazi.

Akitoa taarifa ya kitaalamu ya ujenzi wa Skuli ya Gamba, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Ndg. Khamis Abdalla Said, amesema skuli hiyo imegharimu shilingi bilioni 11.2 na imejengwa na Kampuni ya ZECON, ikiwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 800 kwa wakati mmoja.

Ameongeza kuwa Skuli ya Kifundi ya Pemba imegharimu shilingi bilioni 9.4 na imejengwa na Kampuni ya SALEM Construction.

Skuli hizo zimejengwa kwa ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Benki ya Maendeleo ya Afrika (BADEA), ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuimarisha sekta ya elimu nchini.

RAIS MWINYI APOKEA OMBI LA KUJENGA NYUMBA ZA MAENDELEO - GAMBA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KESI YA ACT WAZALENDO YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI WA UBUNGE BADO MAMBO MAGUMU

KESI YA ACT WAZALENDO YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI WA UBUNGE BADO MAMBO MAGUMU

#SHUHUDIA USHUSHAJI WA BOTI YA KILIMANJARO 9 ZNZ

#SHUHUDIA USHUSHAJI WA BOTI YA KILIMANJARO 9 ZNZ

SMZ YAHIMIZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA VIWANGO VYA JUU ZANZIBAR

SMZ YAHIMIZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA VIWANGO VYA JUU ZANZIBAR

VIDEO KUTOKA OMAN: NDANI ya MGAHAWA ANAOMILIKI MTANZANIA - KUNA SUPU ya ULIMI - MADIKODIKO KIBAO....

VIDEO KUTOKA OMAN: NDANI ya MGAHAWA ANAOMILIKI MTANZANIA - KUNA SUPU ya ULIMI - MADIKODIKO KIBAO....

Ali Karume : Kutetea maslahi ya Zanzibar sio dhambi

Ali Karume : Kutetea maslahi ya Zanzibar sio dhambi

Malumbano ya kikatiba kesi za ACT Wazalendo | GUMZO UPDATES

Malumbano ya kikatiba kesi za ACT Wazalendo | GUMZO UPDATES

RC MJINI MAGHARIB AINGIA KWA KASI AWATAKA MASHEHA NA MADIWANI KUSIMAMIA MAJUKUMU YAO

RC MJINI MAGHARIB AINGIA KWA KASI AWATAKA MASHEHA NA MADIWANI KUSIMAMIA MAJUKUMU YAO

RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI DARAJA NA KISIWANI UZI

RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI DARAJA NA KISIWANI UZI

#ZNZ NA HATUA ZA MABADILIKO BARANI AFRIKA

#ZNZ NA HATUA ZA MABADILIKO BARANI AFRIKA

MGOGORO WA ARDHI, WAKULIMA BUMBWINI MWANGA PWANI WALALAMIKIA UHARIBIFU WA VIPANDO VYAO

MGOGORO WA ARDHI, WAKULIMA BUMBWINI MWANGA PWANI WALALAMIKIA UHARIBIFU WA VIPANDO VYAO

MHE. SORAGA AELEZEA JINSI ZANZIBAR INAVYOHITAJI TEKNOLOJIA KWA AJIRA NA MAENDELEO

MHE. SORAGA AELEZEA JINSI ZANZIBAR INAVYOHITAJI TEKNOLOJIA KWA AJIRA NA MAENDELEO

UJENZI BANDARI YA MARUHUBI (MPIGADURI) MBIONI KUKAMILIKA

UJENZI BANDARI YA MARUHUBI (MPIGADURI) MBIONI KUKAMILIKA

MFUMUKO WA BEI ZA CHAKULA ZANZIBAR WAONGEZEKA HADI ASILIMIA 3.81 DISEMBA 2025

MFUMUKO WA BEI ZA CHAKULA ZANZIBAR WAONGEZEKA HADI ASILIMIA 3.81 DISEMBA 2025

MSTAAFU MWINYI AWAVUNJA MBAVU MSIBANI KWA JPM , MAMA JANETH ASHINDWA KUVUMILIA, WALINZI WAMUONDOA

MSTAAFU MWINYI AWAVUNJA MBAVU MSIBANI KWA JPM , MAMA JANETH ASHINDWA KUVUMILIA, WALINZI WAMUONDOA

OPERESHENI BOMOA BOMOA WALIOVAMIA HIFADHI YA BARABARA YAENDELEA MJINI

OPERESHENI BOMOA BOMOA WALIOVAMIA HIFADHI YA BARABARA YAENDELEA MJINI

HOTUBA NZITO YA RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

HOTUBA NZITO YA RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

ITAZAME HARUSI ya Binti wa DKT MWINYI, MC DR CHENI Auwasha Moto wa Hatari

ITAZAME HARUSI ya Binti wa DKT MWINYI, MC DR CHENI Auwasha Moto wa Hatari

Historia ya Mzee Mwinyi, asili yake, familia yake, siasa na urais mara mbili Bara na Zanzibar

Historia ya Mzee Mwinyi, asili yake, familia yake, siasa na urais mara mbili Bara na Zanzibar

KAULI YA WAZIRI HAMZA WAKATI WA UZINDUZI WA BARABARA YA KIZIMKAZI

KAULI YA WAZIRI HAMZA WAKATI WA UZINDUZI WA BARABARA YA KIZIMKAZI

Жевать гвоздику: польза, возможный вред и что важно знать |здоровье пожилых

Жевать гвоздику: польза, возможный вред и что важно знать |здоровье пожилых

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com