PROFESA JANABI KUGOMBEA NAFASI YA Dkt. NDUGULILE WHO
Автор: DP Media
Загружено: 2024-12-10
Просмотров: 225
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN amesema anatarajia kumpendekeza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. MOHAMED JANABI kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika, nafasi iliyobaki wazi baada ya Dkt. FAUSTINE NDUGULILE aliyekuwa ameteuliwa kushika nafasi hiyo kufariki dunia hivi karibuni.
Rais SAMIA alikuwa akizungumza wakati wa kumuapisha Prof. JANABI kuwa Mshauri wa Rais wa Masuala ya Afya ambapo wateule wengine wakiwemo Mawaziri, Naibu Mawaziri na Mabalozi pia waliapishwa katika hafla iliyofanyaka Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Desemba 10, 2024.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: