MAHOJIANO YA MHE. RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WA NCHINI TANZANIA.
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2024-11-22
Просмотров: 21116
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari vya nyumbani nchini Tanzania ambao walikuwa Brazil kushiriki mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali zenye Uchumi Mkubwa zaidi duniani (G20 SSummit 2024) mara baada ya kukamilika kwa Mkutano huo, Rio de Janeiro ,nchini Brazil tarehe 19 novemba ,2024.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: