NI ZAIDI YA UNYAMA, WIZI WAVAMIA NYUMBA YA MWENYE ULEMAVU WA MACHO NA KUIBA KILA KITU - KWARARA
Автор: ASAM Online TV
Загружено: 2025-05-30
Просмотров: 2341
Mtazamaji wa Asam Online TV, leo Mei 30, 2025, tumefika mtaa wa Kwarara, nje kidogo ya mji, kwa lengo la kuitembelea familia ya kijana Saleh Khatib Abdallah, ambaye alipoteza uwezo wake wa kuona tangu akiwa mtoto mdogo, baada ya kuugua ugonjwa wa surua – ugonjwa uliompelekea kuwa mlemavu wa macho hadi sasa.
#AsamOnlineTV
#KwararaStories
#SalehKhatib
#MaishaYaUshujaa
#JamiiMsaada
#Zanzibar
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: