Kutana na mtoto asiyeweza kupumua kwa mapafu yake
Автор: Azam TV
Загружено: 2021-01-23
Просмотров: 597
Kuna msemo usemao, kabla hujafa hujaumbika. Hivi ndivyo unavyoweza kumuelezea mtoto Steven Juma mwenye umri wa miaka minane (8) ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya idara ya watoto akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kwa zaidi ya miezi sita sasa.
#AzamTVUpdates #UgonjwaWaMapafu
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: