Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

SHIMO NYUMBA YA UHARIBIFU ( DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Автор: Reality of Christ Church

Загружено: 2021-11-17

Просмотров: 21675

Описание:

Mithali 15:11
[11]Kuzimu na Uharibifu vi wazi mbele za BWANA;
Si zaidi basi, mioyo ya wanadamu?

Kuzimu ni eneo ambalo lipo katika ulimwengu wa roho,kwa maana hiyo hata uharibifu pia ni eneo ambalo lipo katika ulimwengu wa roho,na hadi Neno la Mungu linasema kuwa "vi wazi mbele za Bwana" inamaanisha kuwa ni maeneo ambayo kwa macho ya nyama hayaonekaniki.
Neno la Mungu linaendelea kuelezea kuhusu huu uharibifu katika kitabu cha Ayubu;

Ayubu 26:6
[6]Kaburi li wazi mbele yake,
Uharibifu nao hauna kifuniko.

Tofauti ya kaburi na uharibifu ni kuwa kaburi baada ya kuzikiwa hufunikwa lakini uharibifu hauna kifuniko,kwa maana nyingine; kama kaburi ni shimo hata uharibifu nao pia ni shimo kasoro tu halina kifuniko,yaani halifunikwi.Ni sawa chupa ya chai,ukimmiminia mtu mmoja ukimaliza utaifunika lakini kama kuna foleni ya watu wa kuwamiminia kwenye vikombe hautoifunika hadi uwamalize.Kwa maana hiyo uharibifu ni shimo ambalo lipo busy sana,watu wanawekwa hapo sana.Kumbuka UHARIBIFU SIO MATOKEO BALI NI ENEO(LOCATION).
Na hili jambo lilimtokea pia Daudi;

Zaburi 40:1-2
[1]Nalimngoja BWANA kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
[2]Akanipandisha toka shimo la uharibifu,
Toka udongo wa utelezi;
Akaisimamisha miguu yangu mwambani,
Akaziimarisha hatua zangu.

Mungu baada ya kusikia kilio cha Daudi kitu cha kwanza alichofanya ni kumuhamisha eneo(location) alimokuwemo,yaani shimo la uharibifu.Yeyote anayekuwa ndani ya shimo hakuna kitu atakachokifanya na kikaenda kwa sababu yupo shimoni.Kuna watu kimwili wapo maofisini lakini kiroho wamewekwa kwenye shimo la uharibifu, mshahara wanapata lakini hakuna matunda anayokula kutokana na kazi yake.
Biblia inaendelea kusema kuwa "...toka udongo wa utelezi".
Kwa maana nyingine hata mtu huyu akijitahidi kutoka kwenye shimo bado atateleza na kuanguka tena,na mara nyingi huumia.Ndio maana kila ambavyo unajitahidi kupiga hatua ndivyo ambavyo unakutana na vitu vya kukuumiza sana na unajikuta unarudi nyuma.
Kwa Daudi ilibidi Mungu aingilie kati na kumtoa kwenye hilo shimo, katika sehemu inayofuata tutakuwa na MAOMBEZI na kila shimo la uharibifu ulilowekwa Mungu ataenda kukutoa.

UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook:   / therealityof.  .
Follow our Instagram:   / realityofch.  .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:   / @rocworshipperz  
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando YouTube
   / @pastorsunbellakyando  

SHIMO NYUMBA YA UHARIBIFU  ( DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

JE MTU ALIYEOKOKA ANAHITAJI KUFUNGULIWA? BY PASTOR SUNBELLA KYANDO

JE MTU ALIYEOKOKA ANAHITAJI KUFUNGULIWA? BY PASTOR SUNBELLA KYANDO

1.KUSHUGHULIKIA AINA MBALI-MBALI ZA ROHO YA MAUTI

1.KUSHUGHULIKIA AINA MBALI-MBALI ZA ROHO YA MAUTI

REHOBOTH | USIKU WA KUKOMESHA UTAWALA WA ROHO YA MAUTI |  Mwl. Benjamin Abel | 21 SEPT, 2024

REHOBOTH | USIKU WA KUKOMESHA UTAWALA WA ROHO YA MAUTI | Mwl. Benjamin Abel | 21 SEPT, 2024

SHIMO LA UHARIBIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

SHIMO LA UHARIBIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

SADAKA NA FUNGU LA KUMI

SADAKA NA FUNGU LA KUMI

ONE TO ONE NA SESSION MAALUM: KILA HARUFU MBAYA YA KICHAWI IONDOKE KWA JINA LA YESU

ONE TO ONE NA SESSION MAALUM: KILA HARUFU MBAYA YA KICHAWI IONDOKE KWA JINA LA YESU

NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Новогодишно Богослужение | Пловдив | 31.12.2025

Новогодишно Богослужение | Пловдив | 31.12.2025

NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA  - PASTOR SUNBELLA KYANDO

NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

MWISHO WA MAJIRA | Minister Hosea Richard

MWISHO WA MAJIRA | Minister Hosea Richard

JIFUNZE KUELEWA UKIMYA WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

JIFUNZE KUELEWA UKIMYA WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

2.KUSHUGHULIKIA AINA MBALI-MBALI ZA ROHO YA MAUTI

2.KUSHUGHULIKIA AINA MBALI-MBALI ZA ROHO YA MAUTI

NDOTO KATIKA UHALISIA (ROHO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

NDOTO KATIKA UHALISIA (ROHO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

USHIRIKA WA MEZA YA BWANA ILI KUSAFIRI 2026 | MWL ONESMO | 01 JANUARY 2026.

USHIRIKA WA MEZA YA BWANA ILI KUSAFIRI 2026 | MWL ONESMO | 01 JANUARY 2026.

BISHOP; MAGDALENA JOACHIM|| SOMO: NAJUA SEHEMU YA KWANZA

BISHOP; MAGDALENA JOACHIM|| SOMO: NAJUA SEHEMU YA KWANZA

MIGUU ILIYOHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

MIGUU ILIYOHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

EE BWANA NIPANDISHE TOKA SHIMO LA UHARIBIFU

EE BWANA NIPANDISHE TOKA SHIMO LA UHARIBIFU

TAMBUA CHANZO CHA TATIZO UNALOPITIA – PASTOR SUNBELLA KYANDO

TAMBUA CHANZO CHA TATIZO UNALOPITIA – PASTOR SUNBELLA KYANDO

NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

DAY 1: A : USHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU (Mwl. Mgisa Mtebe)

DAY 1: A : USHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU (Mwl. Mgisa Mtebe)

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]