TULIYOGUNDUA KUHUSU HISTORIA YA WAKINGA,MOJA YA KABILA MAARUFU TANZANIA TAZAMA HII
Автор: GREEN FM TV
Загружено: 2024-02-17
Просмотров: 2934
Nimepata nafasi ya kutembelea KPS Vakinga Aku Mlahehwa Investment Co. LTD wanaohusika na uhifadhi wa utamaduni na asili ya Makabila yanayopatikana Nyanda za juu kusini hususan Wakinga
Hakika nimejifunza kwa vitendo na kuyaona mengi ambayo hata sikuwa nayafahamu kabla, mimi nikukaribishe na wewe ufike Makete mjini ndipo walipo
Mengi yatakujia kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya Green FM
Kwa maelezo zaidi wacheki kupitia 0767956742 au 0758248689
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: