Mchungaji Irene P. Bufule. Mchungaji namba 100 wa dayosisi ya Karagwe
Автор: ELCT-KARAGWE DIOCESE
Загружено: 2023-01-31
Просмотров: 1032
Mchungaji Irene Pontion Bufule ni mchungaji wa 100 katika dayosisi ya Karagwe na ni wa 13 kwa wachungaji wanawake katika dayosisi hii. Amebarikiwa na kupangiwa kuhudumu katika Kanisa kuu Lukajange ambalo lipo makao makuu ya dayosisi ya Karagwe.
#kad #karagwe #kijitonyama #ikulumawasiliano
Na: Merabu Birakashekwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: