MREMBO MWENYE MIAKA 19 ARUSHA ANAYEFANYA KAZI ZA BAJAJI KWA AINA TOFAUTI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-08-15
Просмотров: 40391
Rita Richard ni msichana mwenye umri wa miaka 19 ambaye anaishi Arusha lakini ameamua kuanza kupambana ikiwa ni pamoja nakujiajiri kuendesha bajaji za wenzake ambapo inamuwezesha kuingiza fedha kidogo ambayo inamsaidia kuendesha maisha yake huku akiendelea kudunduliza kidogokidogo ili aweze kununua bajaji yake na baadaye aweze kwenda chuo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: