Kabla haujanunua au kuanza kazi ya uendeshaji Bajaji; fahamu mambo MUHIMU kuhusu biashara hii
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-02-17
Просмотров: 12425
Vijana wengi wamekuwa wakijiajiri kwa kupitia biashara ya usafirshaji wa bajaji huku zikikadiriwa hadi sasa kufikia bajaji 600 kwa jiji la Dodoma.
Mwananchi Digital imeingia mtaani na kuzungumza na Madereva hao ambao wanaeleza jinsi wanavyojiajiri wengi wao wakiwa wanatoka Vyuoni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: