Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Bajaj Kwa Mtaji Mdogo
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-09-01
Просмотров: 449
Unafikiri unaingiza pesa kwenye biashara ya Bajaj? Unapoteza shilingi elfu hamsini KILA SIKU. Sio mzaha. Hizi ni gharama za mafuta, matengenezo, na bima ambazo zinakula faida yako kimya kimya kwenye biashara ya Bajaj.
LAKINI, vipi nikikwambia kwa laki nne tu, unaweza kuanza biashara ya Bajaj na KUONGEZA FAIDA YAKO MARA MBILI ndani ya wiki ya kwanza?
Nakupa siri zangu zote za kupunguza gharama tatu kubwa za biashara ya bajaj na kufanya kila safari iingize pesa maradufu. HII HUTAKIUIKOSA.
How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara, elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara. Pia tunatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: