Jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la jumla yenye faida!
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-12-25
Просмотров: 472
Jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la jumla yenye faida
“Ramadhani alikuwa mfanyakazi wa kuajiriwa kwenye duka la jumla Kariakoo. Mwaka 2022, mshahara wake ulikuwa TZS 350,000 kwa mwezi. Kila siku alipofungua magodoro, sukari, mafuta ya kula, aliwaza kitu kimoja:
‘Kama mmiliki wa duka anamliipa mimi laki tatu tu… yeye anapata kiasi gani?’
Miaka miwili baadaye, Ramadhani ana duka lake la jumla Mbagala. Faida yake ya wastani kwa mwezi ni zaidi ya TZS 1,200,000 – na bado duka linaendelea kukua.
How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu.
Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: