RC CHALAMILA AAGIZA WAKAMATWE WANAODAIWA KUMDHULUMU NYUMBA MAMA MJANE, AMWAGA MACHOZI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 77875
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amefika eneo la mgogoro wa nyumba ya Mama mjane Block D Kunduchi Wilaya ya Kinondoni ambapo ameagiza kuundwa kamati maalumu chini ya ofisi yake huku pia akimuagiza mkuu wa wilaya ya kinondoni Saad Mtambule kuunda kamati nyingime ili kamati hizo ziweze kushughulikia kwa haraka mgogoro huo na haki ipatikane kwa wakati.
Mgogoro huo unahusisha nyumba pamoja na viwanja namba 38,39 na 40 blok D vilivyoko kunduchi beach Kinondoni, ukimhusisha Happiness Mwambingu ambae ni mjane
Aidha RC Chalamila ameliamuru Jeshi la Polisi kuwakamata watu wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu ili kujimilikisha eneo hilo na hatimaye likauzwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: