Uchaguzi mkuu Uganda. Katikka Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 28433
Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Uganda, baada ya raia wake milioni 21 kushiriki shughuli hiyo muhimu hii leo. Kinyang'anyiro cha Urais kimewavutia wagombea 8 akiwemo Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye anawania muhula wa saba baada ya takriban miongo minne madarakani.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: