Maandalizi ya uchaguzi mkuu Uganda. Katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-01-09
Просмотров: 23266
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imeanza kusambaza vifaa vya kupigia kura kwa wilaya mbali mbali kuelekea uchaguzi mkuu wa wiki ijayo. Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye ameongoza Uganda kwa miongo minne anawania muhula wa saba madarakani. Mpinzani wake mkuu ni mwanamuziki Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine. Wagombea wengine ni Frank Bulira, Robert Kasibante, Joseph Mabirizi, Nandala Mafabi, Mugisha Muntu na Mubarak Munyagwa.
#BBCSwahiliLeo #Museveni #BobiWine #Uganda #BBCSwahiliDiraYaDuniaTV
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: