Lesson 29: Bembea ya Maisha: Maudhui ya Mabadiliko
Автор: Kiswahili na Mwalimu Ogello
Загружено: 2023-06-11
Просмотров: 2814
Kipindi hiki kimejadili maudhui ya mabadiliko kwa kuchota mifano maridhawa katika tamthilia ya Bembea ya maisha. Mabadiliko haya ni pamoja na: mabadiliko ya utendakazi, michezo ya watoto, elimu kwa watoto wa kike, adhabu kwa watoto, kasi ya usafiri, mabadiliko ya barabara, ulaji wa chakula, namna ya kuimba nyimbo, ulezi, tabia na mienendo na jukumu la wanawake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: