Kiswahili na Mwalimu Ogello

Kipindi hiki kitawawezesha wanafunzi na wapenzi wa lugha ya Kiswahili, kufurahia na kujifunza Kiswahili kwa starehe zao bila bugdha wowote.Imepeperushwa kwa mfululizo wa kipekee na kwa lugha nathari kwa kuzingatia silabasi ya Shule ya upili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne.Pia itawasaidia walimu kufunza kiswahili kwa uweledi kwani ni malighafi wa kupigwa mifano.