Lesson 62: Isimujamii:Sajili ya dini/Maabadini/sifa za kimtindo na za lugha
Автор: Kiswahili na Mwalimu Ogello
Загружено: 2024-04-12
Просмотров: 2237
Kipindi hiki kimepeperushwa hewani kwa lugha sahili ili kurahisisha huelewa wa mwanafunzi. Sifa zote za sajili ya dini zikiwemo zile za lugha na za kimtindo zimechambuliwa na kubainishwa kikamilifu. Picha maridhawa pamoja na maelezo kabambe zimetumika ili kunasa makini ya hadhira.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: