Lesson 64: Isimujamii: Sifa Za Sajili ya Kisiasa/Lugha ya Wanasiasa
Автор: Kiswahili na Mwalimu Ogello
Загружено: 2024-04-26
Просмотров: 675
Kipindi hiki kimenuiwa kuwaelekeza wanafuu wote kutambua sifa zote za sajili ya wanasiasa kwa njia nyepesi na sahili. Lugha nadhifu na ya mvuto iliyochanganywa na picha anuwai za sajili imetumiwa ili kurahisisha uelewa wa wanafunzi. Mifano alinacha imetumiwa ili kuzalisha kumbukumbu ya kutosha akilini mwa mwanafunzi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: