Lesson 46: Ushairi: Arudhi na huru/Sifa za shairi ya Kimapokeo
Автор: Kiswahili na Mwalimu Ogello
Загружено: 2023-09-24
Просмотров: 8348
Kipindi hiki kimeeleza kwa ubatini maana ya shairi, makundi mawili makuu ya shairi pamoja na sifa za shairi la arudhi. Mgogoro baina ya wanamapingiti na wanamapokeo imefafanuliwa kwa kina. Kaida za ushairi za Amri Kaluta Abedi (1954) pia zimefafanuliwa kwa mapana na marefu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: