Lesson 43: Bembea ya Maisha: Kutwazwa na Kutwezwa kwa mwanamke
Автор: Kiswahili na Mwalimu Ogello
Загружено: 2023-09-10
Просмотров: 817
Kipindi hiki kimeeleza jinsi mwanamke alivyoumbwa na kuumbuliwa katika tamthilia ya Bembea ya Maisha. Maelezo kuhusu kusawiriwa au kuchorwa kwa mwanamke yametolewa kwa kutazama pande mbili za swali hili. Maswali na majibu sawia na picha yametumiwa kurahisisha uelewa wa mwanafunzi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: