POLISI WAFUNGUKA MAUAJI YA VIJANA WAWILI VINGUNGUTI/ALIYE MUUA MWANAJESHI AKAMATWA...
Автор: JAMBO TV
Загружено: 2023-12-31
Просмотров: 20970
#JAMBOTV
Siku chache tangu kutokea kwa mauaji ya Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kucheuka (22) Wakazi wa Vingunguti Dar es Salaam, mauaji yanayodaiwa kufanywa na Maafisa wa Jeshia Polisi leo, Jumapili Desemba 31.2023 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro amezungumza na Wanahabari na kueleza kwa undani kilichopelekea Vijana hao kuuawa
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►YOUTUBE: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: https://jambo.tz/
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: