Lesson 21: MAANA NA SIFA ZA KIRAI
Автор: Kiswahili na Mwalimu Ogello
Загружено: 2022-10-06
Просмотров: 4272
Kipindi hiki kitamsaidia mwanafunzi kuelewa kuwa kirai ni fungu la maneno lilokosa muundo wa kiima-kiarifu. Vile vile mwanafunzi atafahamu kuwa kirai ni kundi la maneno linalodokeza maana lakini maana hiyo huwa si kamili. Isitoshe kipindi hiki kitamwezesha mwanafunzi kuelewa sifa zote za kirai kama vile: ni fungu la maneno, huwakilisha dhana moja, hudokeza maana isiyokamilika n.k. Kipindi hiki pia kimefafanua maana ya kiima na maana ya kiarifu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: