Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi amtaja Rais Samia kama Kiongozi mshirikishaji "Lazima unyooke"
Автор: Site Tv Online
Загружено: 2022-03-20
Просмотров: 201
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Katavi,Beda Katani amemtaja Rais Samia Suluhu Hassani kama Kiongozi ambaye atafika mbali katika uongozi wake kutokana na namna anavyofanya mambo kwa kushirikisha.
Katani ameyasema hayo Machi 19,2022 wakati akikabidhiwa Miradi iliyotekelezwa ndani ya Wilaya ya Mpanda ambapo ameridhishwa na Miradi yote.
#SiteNews #TukutaneSite #TukutaneKazini
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: