Heshima aliyopewa Kanali Ali Mahfoudh wa Zanzibar na Rais Samora Machel wa Msumbiji
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2021-10-30
Просмотров: 21156
Aliyekuwa mke wa Marehemu Kanali Ali Mahfoudh, Bibi Naila Majid Jidawi, anazungumzia hapa jinsi mumewe huyo alivyochukuliwa na Marehemu Rais Samora Machel wa Msumbiji baada ya kutolewa kifungoni nchini Tanzania, na akampa heshima kubwa ya kuwa mshauri mkuu wa masuala ya usalama.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: