Mabasi ya Modern Coast yarejea barabarani baada ya marufuku ya NTSA
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2019-12-21
Просмотров: 2238
Mabasi ya Modern Coast yamerejelea shughuli zake hii leo, baada ya zaidi ya juma moja kufuatia marufuku iliyokuwa imetolewa na halmashauri ya maswala ya usalama wa barabarani NTSA. Katika vituo vya mabasi hayo, shughuli chungu nzima zimeshuhudiwa kufuatia agizo la NTSA huku maswali yakiibuka kuhusu utathmini wa mabasi hayo kama inavyohitajika kisheria.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: