MBUNGE OLE SENDEKA ALIVYOSIMAMA BUNGENI NA KUTOA HOJA ZAKE ISHU YA NGORONGORO
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2022-02-10
Просмотров: 39057
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania February 9 2022 wamepata nafasi ya kujadili kuhusu taarifa ya kamati ya Bunge ya ardhi maliasi na utalii ambayo imewasilishwa bungeni pamoja na mambo mengine hoja iliyoteka mjadala ni suala la hifadhi ya Ngorongoro ambayo imeelezwa kuwa kuwa ongezeko la watu na mifugo pamoja na shughuli nyingine za binadamu katika hifadhi imesababisha kuongezeka kwa gharama za kuwahudumia wananchi, pamoja na kuwepo kwa uharibifu wa mazingira, hali inayotishia kupoteza hadhi ya hifadhi hiyo kama eneo la urithi wa dunia.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: