Jina la Kwanza la Barhatiyah na Maelezo ya ziada 1
Автор: Rakims Spiritual
Загружено: 2025-12-13
Просмотров: 391
Katika video hii utajifunza juu ya jina la barhatiyah la kwanza na faida zinginezo za majina haya ya barhatiyah.
Huu ni muendelezo wa majina haya ya barahatihi ambapo ni pamoja na hekima zake;
Ukitaka kuangalia mwanzo wake unaweza kurudi kwenye video hii hapa chini;
• Majina ya Barhatiyah Somo la 1
Hapo utaweza kusoma majina haya kwa story ambazo mwalimu alikuwa anazungumza na wanafunzi wake baadhi katika live ya Tiktok.
Pia unaweza kuendelea katika majina mengine mfano wa haya katika video zingine;
• Majina ya Barhatiyah Jina la TANO
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: