Rakims Spiritual

Karibu Rakims Spiritual

Channel hii inahusu Elimu Za Kiroho ambazo hutumika katika kujisaidia kwenye vipindi vigumu au mikwamo ya maisha kwa kupitia njia za Kiimani ikiwa ni pamoja na kupata muongozo wa Kiroho.

Elimu hii ni pamoja na:

Unajimu kwa upande wamakundi nyota na kufuatilia muongozo wake ikiwa ni pamoja na kusoma chart yako ya kuzaliwa.

Mengineyo yanayohusu channel hii ni maswala ya kiroho kama vile:

1. Meditation Ya Kiroho; Ambayo hapa utafahamu Meditation ni nini? faida zake na njia zake na jinsi ya kufanya.

2. Elimu Ya Kiroho; Tutakuwa tukifundisha elimu za Metafizikia na imani za kiroho kama vile Majina ya Siri ya Mungu na kazi zake, malaka na kazi zao ikiwa ni pamoja na majini na msaada wao.

3. Nguvu za Miujiza; Pia tutajifunza Nguvu za miujiza kama vile jicho la tatu, Aura na zinginezo ikiwa ni pamoja na kuzitumia.

Na Mengineyo.

Mmiliki wa Channel hii ni mwalimu na mtaalamu wa kiroho anaefahamika kama Rakims Spiritual katika Mitandao yote ya kijamii.
Karibuni.