Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Jinsi ya kutumia nguvu za kiroho (The choosen Ones)

Автор: Rakims Spiritual

Загружено: 2025-02-19

Просмотров: 5405

Описание:

Group hii inafundisha majina ya Siri ya Mwenyezi Mungu
(THE CHOOSEN ONES) ambayo mtu anaweza kuyatumia kwa kufuata sheria zake na kupata chochote muda wowote anaohitaji kutambua zaidi soma katika link hii ili kupata mwanga;

Ada ya group hii ni 300,000TSH kwa mwanafunzi mmoja nayo ni kama kiingilio.

SHERIA ZA GROUP HIZI

Hii ni moja kati ya Group 4 za Rakims
Member pia wana nafasi ya kuingiza members wengine ambao ni wenye kuhitajia elimu hizi

Ukijiunga hapa tunatambua ni mtu mwenye akili timamu na utafuata Sheria zifuatazo;

1: Emojis zisizo na msingi katika ujumbe usiohusika hazitakiwi.

2: Mwanafunzi kulazimisha mjadala na Mwingine kwa ajili ya kulazimisha kupewa MASOMO yaliyopita haitakiwi.

3: Lugha za matusi na kashfa kwa mwanafunzi kwenda kwa mwalimu au mwanafunzi mwingine hazitakiwi.

4: Matangazo ya biashara na vitu vingine hayatakiwi.

5: Kutuma makala au vituko na hoja zingine zisizokuwa za kiroho haitakiwi.

6: Matangazo ya hali za watu binafsi na experience za watu binafsi katika vipindi vyao kama kufiwa, kuharibikiwa mahusiano, kuuguza mtu n.k ni vitu havitakiwi (Isipokuwa kwa mwenye kutaka maarifa ya kupambana na analopitia anaruhusiwa.

7: Ukihitaji kutoka kwenye group toka pole pole na sio kukashifu mwanafunzi mwingine au mwalimu.

8 :Ikitokea umekwazwa na mwanafunzi mwingine haijarishi ni wa maana kiasi gani katika group au ana hadhi gani report kwa mwalimu nae ataondoshwa kwenye group kwa ushahidi.

9: Kulazimisha kujuana na kutongozana hakuruhusiwi kwa wanafunzi wa group hii, Ikiwa ni pamoja na kuomba au kulilia shida wanafunzi wengine.

10: Ikiwa yoyote ataenda kinyume na hayo ataondolewa kwenye group na kuwekwa wazi machafu yake.

Rakims Spiritual.

Jinsi ya kutumia nguvu za kiroho (The choosen Ones)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

NGUVU ZA MUNGU-PASTOR SUNBELLA KYANDO

NGUVU ZA MUNGU-PASTOR SUNBELLA KYANDO

JINSI YA KUKAA KATIKA MEDITATION| mikao ya meditation| (Be comfortable) | Chagua mkao rahisi|

JINSI YA KUKAA KATIKA MEDITATION| mikao ya meditation| (Be comfortable) | Chagua mkao rahisi|

USHAWAHI KUKUTANA NAYO HII? | TXDULLAH

USHAWAHI KUKUTANA NAYO HII? | TXDULLAH

SIRI 10 za UTAJIRI Zilizofichwa Kwenye BIBLIA (Matajiri Hawataki Uzijue)

SIRI 10 za UTAJIRI Zilizofichwa Kwenye BIBLIA (Matajiri Hawataki Uzijue)

Mistari katika BIBLIA ya Kutumia Wakati wa TOBA

Mistari katika BIBLIA ya Kutumia Wakati wa TOBA

JINSI YA KUACHILIA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU NDANI YAKO

JINSI YA KUACHILIA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU NDANI YAKO

Fanya kama hakuna kitu kinachokuathiri nawe utapata amani ya ndani | Falsafa ya Ustoiki

Fanya kama hakuna kitu kinachokuathiri nawe utapata amani ya ndani | Falsafa ya Ustoiki

FAIDA TANO ZA KUFUNGA NA KUOMBA - Innocent Morris

FAIDA TANO ZA KUFUNGA NA KUOMBA - Innocent Morris

FAHAHAMU MILANGO SABA KATIKA MWILI WAKO BY KAKA WA MADHABAHUNI

FAHAHAMU MILANGO SABA KATIKA MWILI WAKO BY KAKA WA MADHABAHUNI

MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA

MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA

AINA TATU ZA MFUNGO

AINA TATU ZA MFUNGO

🔴

🔴"Prince Katega II Acharuka PASAKA Part 2 – Chionda, IPM na Nabii Mkuu Watajwa!" #UkomboziWaFikra

Elewa Nguvu Za Meditation

Elewa Nguvu Za Meditation

Ukitaka Mali za MAJINI, tumia njia hii.

Ukitaka Mali za MAJINI, tumia njia hii.

UMUHIMU NA JINSI YA KUJENGA NGUVU ZAKO ZA NDANI - PST GEORGE MUKABWA | 23/06/2022

UMUHIMU NA JINSI YA KUJENGA NGUVU ZAKO ZA NDANI - PST GEORGE MUKABWA | 23/06/2022

JINSI YA KUWA NA NGUVU ZA MUNGU

JINSI YA KUWA NA NGUVU ZA MUNGU

TUMIA NJIA HIZI 7 KUFUNGUA MACHO YAKO YA KIROHO

TUMIA NJIA HIZI 7 KUFUNGUA MACHO YAKO YA KIROHO

TABIA 8 ZINAZO UA NGUVU YA MAOMBI NDANI MWAKO PASIPO WEWE KUJUA

TABIA 8 ZINAZO UA NGUVU YA MAOMBI NDANI MWAKO PASIPO WEWE KUJUA

Jinsi ya kushinda hofu na kufanya mambo makubwa maishani | MAMBO YA KUZINGATIA ILI UONDOE HOFU

Jinsi ya kushinda hofu na kufanya mambo makubwa maishani | MAMBO YA KUZINGATIA ILI UONDOE HOFU

DALILI 9 ZA MTU ALIYE CHAGULIWA NA MUNGU KWA AJILI YA HATIMA KUBWA

DALILI 9 ZA MTU ALIYE CHAGULIWA NA MUNGU KWA AJILI YA HATIMA KUBWA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]