ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Kamwe atamba na medali alizozoa kupitia Yanga, Ahmed Ally asema furaha yaja
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 534
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Yanga yazidi kutamba na usajili wa Allan Okello, Ally Kamwe ajivunia medali alizovaa kutokana na timu yake kubeba kila aina ya vikombe vya ndani ambavyo Wananchi wamekuwa wakipambania.
#Viwanjani #ZilizobambaMitandaoni
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: