Ubunifu ni chanzo cha ajira
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2020-07-28
Просмотров: 979
Kutana na Remiasi Amideus mkazi wa Arusha, Tanzania. Anatumia mikono yake kutengeneza bidhaa kama vile umma, vijiko, sahani na bakuli kutokana na mbao. Kupitia ubunifu wake anayatimiza majukumu yake ya kuitafutia rizki familia. Video na Veronica Natalis. Kurunzi 28.07.2020
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: