Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

WANAOLIMA BANGI ARUMERU; SERIKALI KUTAIFISHA MASHAMBA YAO

Автор: Arusha District Council

Загружено: 2023-07-14

Просмотров: 2408

Описание:

Wananchi wilaya ya Arumeru, wanaojishughulisha na kilimo haramu cha bangi, wametakiwa kuwacha mara moja kilimo hicho huku serikali ikiwa na mkakati wa kuwachukulia hatua kali ikiwemo kutaifisha mashamba na mali zao, endapo watabainika kuendelea na kilimo hicho cha bangi.Rai hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, wakati wa oparasheni maalumu ya kutokomeza kilimo cha bangi kijiji cha Kisimiri Juu, ikiwa ni oparesheni ya kitaifa ya kupiga vita na kutokomeza madawa ya kulevya nchini.Katika operesheni hiyo, iliyoongozwa na Mkuu wa wilaya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya, jumla ya magunia 270 ya bangi na Kilo 300 za mbegu zilikamatwa na kuteketezwa kwa moto huku watuhumiwa wanne wakikamatwa na kuchukuliwa na Jeshi la Polisi.Hata hivyo Mkuu huyo wa wilaya amesikitishwa na kitendo cha wanachi wa kijiji hicho kufuta namba za anuani za makazi zilizowekwa kwenye nyumba zao, jambo ambalo linawafanya kushindwa kutambua rasmi magunia ya bangi ndani ya nyumba hizo ni ya nani.Aidha ameweka wazi mkakati wa serikali sasa ni kurasmisha mashamba yote ya wananchi wa kijiji hicho ili kuweza kutambua mmiliki halisi na halali wa shamba na kurahisisha utambuzi wa mtu anayelima bangi kwenye shamba husika."Serikali kupitia Mamlaka ya kudhibiti Madawa ya Kulenya walitoa elimu kwa wananchi kuwacha kulima bangi lakini bado wapo baadhi ya watu wanaendelea na kilimo hicho, tumekamata magunia 270 na Kilo 300 za mbegu jambo ambalo linaashiri bado kilimo hicho kinafanyika sana"Naye Mwakilishi wa Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kuupambana na Dawa za kulevya, Afisa Operationi Jackson George, amesema kuwa licha ya Mamlaka hiyo kutoa elimu ya matumizi ya bangi lakini bado wanachi wa Kisimiri wanaendelea kulima na kuuza zao hilo kwa siri, lakini Serikali itaendela kutoa elimu na kuchukua hatua kali za kisheria kwa yeyote atakayebainika.Operasheni ya kutokomeza kilimo cha bangi inaendelea, katika wilaya ya Arumeru hukue serikali ikiwa na mikakati thabiti ya kahakikisha wananchi wa akisimiri Juu na Chini halmashauri ya ameru na Kijiji cha Losinoni Juu halmashauri ya Arusha wanaachana na kilimo cha bangi.

WANAOLIMA BANGI ARUMERU; SERIKALI KUTAIFISHA MASHAMBA YAO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

ARUSHA HAIPOI, TUKIO LA KUSHTUKIZA LAKUTA BANGI HEKARI 50 ZIMELIMWA KATIKATI YA MAHINDI NA ALIZETI

ARUSHA HAIPOI, TUKIO LA KUSHTUKIZA LAKUTA BANGI HEKARI 50 ZIMELIMWA KATIKATI YA MAHINDI NA ALIZETI

WANNE WAKAMATWA NA GUNIA 270 ZA BANGI NA KILO 300 ZA MBEGU ZA BANGI ARUSHA

WANNE WAKAMATWA NA GUNIA 270 ZA BANGI NA KILO 300 ZA MBEGU ZA BANGI ARUSHA

Polisi Dodoma ilivyombananisha mkulima wa bangi “Nilienda kwa mganga”

Polisi Dodoma ilivyombananisha mkulima wa bangi “Nilienda kwa mganga”

DC Jerry Muro alivyoongoza kikosi kumdaka babu anayetunza bangi | Simu yatumika kunasa mtandao wake

DC Jerry Muro alivyoongoza kikosi kumdaka babu anayetunza bangi | Simu yatumika kunasa mtandao wake

KAMANDA MUROTO ALIVYOMNASA JAMAA ALIYEKUWA ANASAFIRISHA BANGI KWENDA ARUSHA

KAMANDA MUROTO ALIVYOMNASA JAMAA ALIYEKUWA ANASAFIRISHA BANGI KWENDA ARUSHA

HEKARI 807 ZA BANGI ZATEKETEZWA MARA, MAGUNIA 507 ya BANGI YAKAMATWA

HEKARI 807 ZA BANGI ZATEKETEZWA MARA, MAGUNIA 507 ya BANGI YAKAMATWA

Kakamatwa na Bangi Kagera lakini alivyojitetea kila mtu akacheka

Kakamatwa na Bangi Kagera lakini alivyojitetea kila mtu akacheka

DC ARUMERU ATOA TAMKO DHIDI YA SOKO LA TENGERU ARUSHA

DC ARUMERU ATOA TAMKO DHIDI YA SOKO LA TENGERU ARUSHA

⚡️Путина ЗАГНАЛИ в ТУПИК! В панике РЕШИЛСЯ на БЕЗУМНОЕ. Россия НА ГРАНИ БУНТА. ГОРДОН, ЦИМБАЛЮК

⚡️Путина ЗАГНАЛИ в ТУПИК! В панике РЕШИЛСЯ на БЕЗУМНОЕ. Россия НА ГРАНИ БУНТА. ГОРДОН, ЦИМБАЛЮК

Wananchi wa Longido - Arusha wacharuka kuhusu fidia | Mbunge alifikisha ngazi ya Taifa

Wananchi wa Longido - Arusha wacharuka kuhusu fidia | Mbunge alifikisha ngazi ya Taifa

BANGI NIBANGUE

BANGI NIBANGUE

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

GARI LA AJABU LILIVYOWASHANGAZA WATU ARUSHA, JAMAA KAINUNUA MILIONI 68

GARI LA AJABU LILIVYOWASHANGAZA WATU ARUSHA, JAMAA KAINUNUA MILIONI 68

TAZAMA#SHEHENA YA BANGI ILIVYOTEKETEZWA KISIMIRI JUU ARUSHA.

TAZAMA#SHEHENA YA BANGI ILIVYOTEKETEZWA KISIMIRI JUU ARUSHA.

WANANCHI WALIOPITIWA NA BARABARA ARUMERU WAOMBA KUPEWA FIDIA KABLA YA UJENZI,MBUNGE ATETA NAO.

WANANCHI WALIOPITIWA NA BARABARA ARUMERU WAOMBA KUPEWA FIDIA KABLA YA UJENZI,MBUNGE ATETA NAO.

TAZAMA NG'OMBE WA MILIONI 12 ANAYEFUGWA ARUMERU MKOANI ARUSHA.

TAZAMA NG'OMBE WA MILIONI 12 ANAYEFUGWA ARUMERU MKOANI ARUSHA.

VIONGOZI WA KIMASAI WAVURUGANA, IGP SIRRO AOMBWA KUINGILIA

VIONGOZI WA KIMASAI WAVURUGANA, IGP SIRRO AOMBWA KUINGILIA "WANACHANGISHA MILIONI 2"

Kg 140 za mirungi zakutwa kwenye madumu

Kg 140 za mirungi zakutwa kwenye madumu

KIMENUKA ARUSHA:MAGARI YA POLISI 4 YASIMAMIA MAZISHI YA KIJANA WA TOYO, VIJANA WAKIAMSHA

KIMENUKA ARUSHA:MAGARI YA POLISI 4 YASIMAMIA MAZISHI YA KIJANA WA TOYO, VIJANA WAKIAMSHA

SAFARI YA TRENI DAR - ARUSHA, SHUHUDIA DARAJA MPAKA DARAJA, ABIRIA WANENA

SAFARI YA TRENI DAR - ARUSHA, SHUHUDIA DARAJA MPAKA DARAJA, ABIRIA WANENA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]