Sheria 5 za Giza za Binadamu (Saikolojia Hatari)
Автор: Kizani
Загружено: 2025-08-05
Просмотров: 6813
Watu wanatumia siri hizi dhidi yako kila siku. Umeishi ukiamini maneno yao matamu, bila kujua kwamba dunia ni uwanja wa vita vya kisaikolojia.
Katika video hii, ninafichua Kanuni 5 za Giza za Binadamu ambazo zitakupa uwezo wa kuona nyuma ya vinyago, kuelewa nia zao za siri, na kuacha kuchezeshwa mara moja.
Kama ulivyoona, nimeishia kwenye kanuni ya tano kimakusudi. Maarifa haya sio ya kila mtu. Ni kwa wale walio siriasi na waliochoka kuwa kondoo.
Zile kanuni 10 zilizobaki, zenye nguvu zaidi, ziko ndani ya kitabu changu kipya: "Kanuni 15 za Giza za Binadamu."
Kama uko tayari kupata silaha kamili, tuma neno la siri:
SHERIA
kwenye WhatsApp : 0692315293
Subscribe ili uendelee kupata silaha za kiakili. Share video hii na mtu mmoja unayejua anahitaji kuamka.
Hashtags
#darkpsychology #psychology #sheria #mafanikio #elimu #akili #48lawsofpower #history #horror #africa #ghost #astral #mystery #burundi #scary #daressalaam #tanzania #kizani #books #vitabu #pesa #money #poor #rich #tajiri #trending #viral #education #elimu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: