Saikolojia ya Kudhibiti Hisia za Watu | The Art of Influence (Law 43)
Автор: Life Psychology TZ
Загружено: 2025-11-30
Просмотров: 2362
Karibu Life Psychology TZ.
Leo tunazama ndani ya moja ya sheria kubwa sana kwenye ulimwengu wa ushawishi, tabia na maamuzi ya binadamu — Law 43: The Art of Influence.
Katika video hii utajifunza:
Jinsi hisia zinavyotangulia maamuzi
Mazingira yanavyoathiri uwezo wa kukubali au kukataa hoja
Mbinu ya Priming: kupanda wazo kabla ya uamuzi
Emotional Triggers: Fear, Desire na Identity
Yes Ladder Technique kwa ushawishi bila upinzani
Mirror Psychology: Sanaa ya kumfanya mtu akuone kama rafiki
Jinsi ya kujenga uaminifu wa hisia na kuathiri maamuzi ya watu kimyakimya
Huu ni msingi wa nguvu kimyakimya—nguvu ambayo watu wengi wanaotawala hisia na maamuzi hutumia bila kelele, bila mabishano na bila kutumia nguvu ya kulazimisha.
Ikiwa unataka kuelewa saikolojia ya tabia, ushawishi, maamuzi na mahusiano…
hii video itakuwa mwongozo wako muhimu.
👉 Subscribe kwenye Life Psychology TZ kwa somo moja la kisaikolojia kila siku.
👉 Acha comment: Ni trigger ipi imekugusa zaidi?
👉 Like & Share video hii kuwafikia wengine.
#LifePsychologyTZ #motivation #mindset #education #afyayaakili #fikrachanya #motisha #maishabora #motisha #Psychology #ArtOfInfluence #Law43
#EmotionalIntelligence #MindsetAfrica #PsychologyTips
#HumanBehavior #Kisaikolojia #Influence
#SelfImprovement #Emotions #DecisionMaking
#AfricanPsychology #MentalStrength
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: